MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA{BONGO FLAVA}GODFREY TUMAINI a.k.a "DUDU BAYA" JUZI 01st AUGUST 2013,ALISWEKWA RUMANDE KATIKA KITUO CHA POLISI OYSTERBAY BAADA YA MADAI YALIYOFIKISHWA POLISI NA BABA WA MSANII MWENZIE GEEZ MABOVU,BW,MASHAKA MRISHO,AWALI BW,MASHAKA ALIRIPOTI TUKIO LA KUCHOMEWA NYUMBA YAKE NA FAMILIA YA MSANII GODFREY TUMAINI "DUDU"IKIDAIWA KUWA MKE WA MSANII GODFREY TUMAINI "DUDU BAYA"ALIMWAGIA MKAA WA MOTO VITI AINA YA SOFA VILIVYOKUWEMO NDANI MWA BW,MASHAKA MRISHO,KESI ILIYOFUNGULIWA KITUONI HAPO NA KUPEWA RB NO-OB/RB/13485/2013,AMBAPO JUZI RB HIYO NDIYO ILIYOTUMIKA KUWAKAMATA DUDU BAYA MKEWE MARIAM,AMBAPO DUDU BAYA ALIWEKWA RUMANDE KWA TAKRIBAN MASAA SITA KABLA YA KUWEKEWA DHAMANA NA SHEMEJI YAKE ALIYEJULIKANA KWA JINA MOJA LA "VERO".,BAADA YA KUTOKA RUMANDE DUDU BAYA ALIJARIBU KULIONGELEA HILI,KWAKIRI KUKAMATWA KWAKE NA KUSWEKWA RUMANDE KWA MUDA,ILA ALISISITIZA KUWA BW,MRISHO AMEMDHALILISHA KWA KUDAI KUWA TUHUMA HIZO NI ZA KIZUSHI AKIDAI KUWA YEYE AMELIACHIA JESHI LA POLISI AKIAMINI SHERIA ITAFATA MKONDO WAKE NA UKWELI UTAJULIKANA.
No comments:
Post a Comment