Tuesday, 13 October 2015

HAKIMU AMUUMBUA MGOMBEA WA CCM KWA MASHTAKA YASIYOKIDHI KISHERIA.

Picha hii ilikuwa ni Mwaka 2012 nyumbani kwake Kiborloloni,
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Moshi Mjini kupitia Chama tawala {CCM}Bw,Davis Mosha wiki iliyokwisha aliyefungua Kesi ya udhalilishaji kwa Vijana,aliyodai kuwa ni Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo{CHADEMA},akidai kudhalilishwa kwa kupachikwa jina la Yahaya{Jina linalodaiwa kuwa Vijana hao wamempa kutokana na yeye kutokuwa Mkazi wa Kilimanjaro na huku akitaka kugombea Ubunge kupitia Jimbo hilo}.
Awali baadhi ya Wakazi wa Moshi Mjini Jimbo analogombea Bw,Davis Mosha walionyesha kulalamikia kupitishwa kwa Mgombea huyo na Chama Tawala{CCM}kugombea Ubunge kupitia Jimbo hilo kwa kuwa Bw,Davis Mosha mfanyabiashara maarufu jijini Dar es salaam HANA makazi jimboni humo,hivyo si sahihi kwake kupewa Ridhaa ya kugombea kupitia Jimbo hilo....
KUTOKA MAHAKAMANI:-
 

No comments: