Wednesday, 14 August 2013

MAZISHI YA MFANYABIASHARA WA MADINI BW,ERASTO MSUYA JANA.

JENEZA LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU ERASTO MSUYA,LIKIWA TAYARI LIMESHAFIKISHWA SEHEMU MAALUM ILIYOANDALIWA KWA MAZIKO.
MWILI WA MAREHEMU ERASTO MSUYA UKIWA TAYARI KWA KUZIKWA.

MH,BABA ASKOFU NAYE AKITOA HESHIMA ZAKE ZA MWISHO.
WATOTO WA MAREHEMU ERASTO MSUYA,WAKATI IBADA YA MAZISHI IKIENDELEA.
MMOJA WA WATOTO WA MAREHEMU AKILIA KWA UCHUNGU BAADA YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU BABA YAKE.
WATOTO WA MAREHEMU WAKIWA WAMEBEBA PICHA ZA MAREHEMU TOFAUTI,WAKILIONGOZA JENEZA KUELEKEA KWENYE KABURI MAALUM TAYARI KWA KUZIKA.

MKE WA MAREHEMU AKIUAGA MWILI WA MUMEWE KWA MACHUNGU MAKUBWA.
MH,ASKOFU AKISAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO.

MFANYABIASHARA WA MADINI BW,ERASTO MSUYA,ALIYEZIKWA JANA NYUMBANI KWAKE,BAADA YA KUPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA,WIKI MBILI ZILIZOPITA MAENEO YA KIA{KILIMANJARO}AKITOKEA MERERANI{ARUSHA}.
MBUNGE WA SIMANJIRO BW,CHRISTOPHER OLE SENDEKA,ALIPOWASILI MSIBANI NYUMBANI KWA MAREHEMU ERASTO MSUYA JANA.
MUIGIZAJI MAARUFU JACOB STEVEN "JB"MC WA TUKIO ZIMA LA MAZISHI YA MAREHEMU BW ERASTO MSUYA JANA.
HUU NDIYO MUONEKANO WA JENEZA LILILOBEBA MWILI WA MAREHEMU ERASTO MSUYA ,JENEZA LILILOWASHANGAZA WENGI KWA JINSI LILIVYOKUWA LIKIOPERETIWA KWA RIMOTI.



No comments: