Thursday, 22 August 2013

MICHAEL SCOLFIELD ASISITIZA JUU YA MSIMAMO WAKE WA KUJIHUSISHA NA USHOGA.

STARING KATIKA SERIES MOVIE MAARUFU DUNIANI YA PRISON BREAK"WENTWORTH MILLER" MAARUFU KAMA MICHAEL SCOLFIELD,KAMA ANAVYOJULIKANA KWENYE MOVIE HIYO,AMEENDELEA KUONYESHA MSIMAMO WAKE JUU YA KUJIHUSISHA NA MAHUSIANO YA JINSIA MOJA{USHOGA},HII NI BAADA YEYE KUKATAA MUALIKO NCHINI URUSI KWENYE TAMASHA LA FILAMU LA KIMATAIFA LA ST,PETERSBERG NCHINI HUMO,AKIDAI KUTOKANA NA VITENDO VYA KINYAMA WANAVYOFANYIWA MASHOGA WENZAKE NCHINI HUMO,NI JAMBO LINALOMZUIA KUKUBALI MUALIKO HUO,JAPO YEYE NI MTU MWENYE ASILI KIASI YA URUSI,LAKINI ANAOGOPA KUELEWEKA VIBAYA KWA JAMII YA MASHOGA DUNIANI,MAKALA YA MAJIBU YA MUALIKO HUO TOKA KWA WEINTWORTH MILLER IMECHAPISHWA KWENYE MTANDAO UNAOTETEA MASHOGA DUNIANI WA "GAY AND LESBIAN ALLIANCE AGAINST DEFAMATION"UKIELEZEA JINSI STAR HUYO WA MOVIE DUNIANI ALIVYOUCHOMOLEA MUALIKO HUO,IKIWA NI KAMA SHINIKIZO KWA KUTOHESHIMIKA KWA NDOA ZA JINSIA MOJA NA TABIA ZA KISHOGA NCHINI URUSI.

No comments: