Thursday, 22 August 2013

NAY WAMITEGO KUSONGESHWA KIZIMBANI.

MSANII WA MUZIKI WA KIZAZI,MAARUFU NCHINI HASA KUTOKANA NA UANDISHI WA MASHAIRI,YAKE KULENGA KUKOSOA AMA KUWACHANA WALE WOTE AMBAPO HISIA ZAKE ZINAMTUMA HAWAKO SAWA KIMTAZAMO WAKE BINAFSI,BW,EMMANUEL ELIBARIKI {NAY WAMITEGO},ANATARAJIWA KUPANDISHWA KIZIMBANI HIVI KARIBUNI,HII NI KUTOKANA NA MATOKEO YA SINGLE YAKE MPYA ALIYOIACHIA HIVI KARIBUNI"SALAAM ZAO",CHANZO KINADAI KUWA MLALAMIKAJI KATIKA KESI HII NI MKURUGENZI WA KAMPUNI YA BENCHMARK INT,MADAM RITHA POULSEN,KAMPUNI INAYOENDESHA NAKUSIMAMIA SHINDANO MAARUFU LA KUSAKA VIPAJI NCHINI TANZANIA-EPIC BONGO STAR SEARCH.{EBSS},KINACHOLALAMIKIWA ZAIDI NA MADAM RITHA KWA NEY WAMITEGO NI MASHAIRI YANAYOMLENGA MOJA KWA MOJA YEYE MWENYEWE NA UONGOZI WA KAMPUNI YAKE YA BENCHMARK,KUWA NI MAGUMASHI JUU YA ZAWADI ZITOLEWAZO KUTOKUWA SAHIHI KIMTAZAMO,MASHAIRI HAYO YAKIMJUMUISHA MPAKA MSHINDI WA EBSS 2012,"WALTER CHILAMBO"YAKITANABAI KUWA MSHINDI HUYO HAENDANI NA TASWIRA YA KUSHINDA MILL 50 KABISA.NEY AMEKUBALI KUWEPO KWA MADAI HAYO TOKA KWA MADAM RITHA JUU YAKE KISHERIA NA AMEDAI KUWA JUU YA KESI HII,YEYE ATAMUWEKA WAKILI KUSIMAMIA KESI HIYO.

No comments: