RAIS WA KENYA BW,UHURU KENYATA,JANA USIKU ALIHUDHURIA SHEREHE FUPI YA KUSIKILIZA ALBAM MPYA YA MWANADADA MISS KARUN{MEMBER WA KUNDI LA CAMP MULLAH}LA NCHINI HUMO,SHEREHE ILIYOFANYIKA KWENYE UKUMBI WA MUTHAIGA GOLF CLUB.
PICHA MBILI ZIKIMUONYESHA RAIS UHURU KENYATA,NDANI YA UKUMBI WA MUTHAIGA GOLF CLUB,KUMSAPOTI MWANADADA MISS KARUN JANA USIKU.
No comments:
Post a Comment