Tuesday, 17 September 2013

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO YAMNYIMA DHAMANA SHEIKH PONDA.

MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO LEO IMEMNYIMA DHAMANA KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA DINI YA KIISLAM NCHINI SHEIKH PONDA,ALIYESHTAKIWA MAHAKAMANI HAPO KWA KESI YA UCHOCHEZI NA UPOTEVU WA AMANI NCHINI KESI NO-128/2013,
UMATI MKUBWA ULIOSHEHENI WAFUASI WA SHEIKH PONDA NA WAUMINI WA DINI YA KIISLAM ULIFURIKA MAHAKANI HAPO KUSIKILIZA KESI HIYO ILIYOKUWA IKITAJWA LEO MAHAKAMANI HAPO.
BAADHI YA WATU WALIOFIKA LEO MAHAKAMA YA HAKIMU MKAZI MOROGORO KUSIKILIZA KESI YA SHEIKH PONDA.
 
SHEIKH PONDA AKIWA CHINI YA ULINZI MKALI WA ASKARI MAGEREZA WAKATI AKILETWA MAHAKAMANI LEO

No comments: