Friday, 27 September 2013

PICHA ZA MTOTO WA MSANII BLACK RHINO.

MSANII BLACK RHINO"THE DON DADA",MDOGO WA MSANII MKONGWE WA HIPHOP BONGO PROFF JAY,JUZI MCHANA ALIBARIKIWA KUPATA MTOTO WAKE WA KWANZA WA KIKE,HII NI BAADA YA MKEWE KUJIFUNGUA SALAMA,
HIZI HAPA NI BAADHI YA PICHA ZA KICHANGA HICHO,
KWA PAMOJA BLACK RHINO NA MKEWE WAMEMPA JINA RISHONA CHERISSE HAULE BINTI YAO HUYU WA KWANZA KATIKA FAMILIA WALIYOKUBALIANA KUIANZISHA.

No comments: