Friday, 27 September 2013

EL SHABAAB WASHAMBULIA TENA KENYA.KENYA

MAGAIDI WA KIKUNDI CHA EL SHABAAB{SOMALIA},JANA WALIFANYA SHAMBULIO JINGINE LA KIGAIDI NCHINI KENYA,
KUPITIA TELEVISION YA KTN NCHINI KENYA,MAGAIDI HAO WALIFANIKIWA KUSHAMBULIA KITUO CHA POLISI MJINI MANDERA,KATIKA SHAMBULIO HILO POLISI WAWILI WAMEPOTEZA MAISHA,WAKATI POLISI WATATU  WAMEJERUHIWA VIBAYA,AMBAPO KATIKA SHAMBULIO HILO MAGARI YAPATAYO KUMI NA MOJA{11}YAMECHOMWA MOTO,
PIA KUNA TAHARIFA JUU YA SHAMBULIO JINGINE LA KIGAIDI LIKIWAHUSISHA EL SHABAAB TUKIO LILILOTOKEA KWENYE SOKO LA WAJIR AMBAPO RAIA MMOJA ALIPOTEZA MAISHA,
KWA MUJIBU WA SHIRIKA LA HABARI BBC,,KUFUATIA MASHAMBULIZI HAYA SERIKALI YA KENYA IMEIOMBA INTERPOL KUMUWEKA MWANAMKE ANAYEHUSISHWA NA MAUAJI HAYA YA KIGAIDI NCHINI HUMO"SAMANTHA LEWTHWAITE "THE WHITE WIDOW"KWENYE KUMBUKUMBU ZA MTU HATARI DUNIANI NA ANAYETAFUTWA KWA UDI NA UVUMBA KWA KUSAMBAZA TAHARIFA ZAKE KOTE DUNIANI ILI IWE RAHISI KUMKAMATA MTUHUMIWA HUYO.
SAMANTHA LEWTHWAITE"THE WHITE WIDOW".
  

No comments: