LEO MSANII MKALI TOKA CLICK MAARUFU NCHINI MAREKANI "THE YCMB"LIL WAYNE
ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA KWA KUTIMIZA MIAKA {31YRS},LILI WAYNE AMEPATA MAFANIKIO MAKUBWA KUPITIA MUZIKI WA HIPHOP AKIWA NA KUNDI LAKE LA YCMB LINALOONGOZWA NA MKALI BIRDMAN,
SHEREHE ZA BIRTHDAY YA WEEZY ZITAFANYIKA JUMAPILI NDANI YA LIV NIGHTCLUB{MIAMI}AKIJUMUIKA NA NDUGU NA MARAFIKI ZAKE KUSHEREHEKEA SIKU YAKE HII YA KUZALIWA.
2-NI MBONGO MOVIE BIBIE WASTARA JUMA KILOWOKO,AMBAYE NAYE LEO ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YAKUZALIWA,WATU WENGI WAKIWEMO MASHABIKI,MARAFIKI NA WASANII WENZAKE WAMEMTUMIA SALAMU NYINGI ZA KUMPONGEZA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA LEO,
WASTARA NI MJANE KUPITIA ALIYEKUWA {MUMEWE}AMBAYE ALIKUWA NI MSANII MWENZIE WA FILAMU JUMA KILOWOKO ALIYEFARIKI DUNIA MWAKA JANA BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU.

![]() |
PICHA MBILI MBANANO ZIKIMUONYESHA MSANII LIL WAYNE AKIWA NA MAMA YAKE"JECIDA CARTER" |
2-NI MBONGO MOVIE BIBIE WASTARA JUMA KILOWOKO,AMBAYE NAYE LEO ANASHEREHEKEA SIKU YAKE YAKUZALIWA,WATU WENGI WAKIWEMO MASHABIKI,MARAFIKI NA WASANII WENZAKE WAMEMTUMIA SALAMU NYINGI ZA KUMPONGEZA KUSHEREHEKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA LEO,
WASTARA NI MJANE KUPITIA ALIYEKUWA {MUMEWE}AMBAYE ALIKUWA NI MSANII MWENZIE WA FILAMU JUMA KILOWOKO ALIYEFARIKI DUNIA MWAKA JANA BAADA YA KUUGUA KWA MUDA MREFU.
No comments:
Post a Comment