RAHA MASTERS INC & GRAPHIC DESIGNERS.
FIND US ON:-FACEBOOK as Ngessakinollo OR dvjKson on INSTAGRAM.
Thursday, 3 October 2013
DIAMOND ACHEZA NA BABY WAKE KITANDANI SIKU YA BIRTHDAY YAKE JANA.
JANA ILIKUWA NI KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA MSANII DIAMOND PLATNUMZ HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA BIRTHDAY YAKE,AMBAPO DIAMOND NA BABY WAKE PENNY MANGILWA"VJ PENNY" WALISHEREHEKEA WAKIWA NYUMBANI PAMOJA WAKIWA WAWILI.
No comments:
Post a Comment