MSANII BABY MADAHA,TOKA TANZANIA AMBAYE KWA HIVI SASA YUPO NCHINI KENYA KWA SHUGHULI ZAKE ZA KIMUZIKI,AKIWA CHINI YA LEBO YA CANDY n CANDY RECORDS NCHINI HUMO,KWA SASA BABY MADAHA AMESHAACHIA SINGO YAKE YA KWANZA AKIWA NA STUDIO HIYO MPYA AMBAYO NI MARA YAKE YA KWANZA KUFANYA NAYO KAZI NGOMA INAYOJULIKANA KWA JINA LA SUMMER HOLIDAY,
HIZI HAPA NI BAADHI YA PICHA ZA MSANII BABY MADAHA AKIWA NCHINI KENYA.
 |
BABY MADAHA AKIWA NA BAADHI YA WATOTO ALIOPIGA NAO PICHA,KATIKA MOJA YA MAENEO NCHINI KENYA. |
 |
PICHA KADHAA ZIKIMUONYESHA BABY MADAHA AKIWA NDANI YA MKOKO WAKE MPYA ANAOUTUMIA KWA SASA{AUDI TT} |
No comments:
Post a Comment