MKONGWE WA MUZIKI AFRICA SALIF KEITA{MALI}AMEMWAGIA SIFA MSANII WA KIKE LADY JAY DEE{TANZANIA}KWA UWEZO ALIOKUWA NAO WA KUIMBA.AKIONGEA KUPITIA KIPINDI CHA COKE STUDIO AFRICA SALIF KEITA ANASEMA"I Love Lady Jay Dee,She has a Beautiful Voice,and She has an Amazing Technique too"ALIFUNGUKA MKONGWE SALIF KEITA,
KATIKA KUONYESHA KUFURAHISHWA NA KUHESHIMU MCHANGO WA WAKONGWE KAMA SALIF KEITA,LADY JAY DEE ANADAI"SALIF KEITA NI MSANII MKUBWA SANA AFRICA,NA BINAFSI SIJAWAHI KUKUTANA NAYE USO KWA USO,HIVYO NAONA NI BAHATI NA NAFASI KUBWA KWANGU KUKUTANA NA MKONGWE HUYU,NIKO MAKINI KILA NINAPOKUWA NAYE,KWANI NNACHOTAKA NI KUJIFUNZA KUTOKA KWAKE,KWANI YEYE NI MTU AL;IYENITANGULIA NA AMESHADUMU KWA MUDA MREFU KWENYE MUZIKI.ALIDAI LADY JAY DEE.
NB:-ILI KUPATA PICHA KAMILI FUATILIA VIDEO HII HAPA:-

No comments:
Post a Comment