KATIKA HALI YAKUONYESHA FURAHA YAKE KWA KUMALIZA RASMI ALBAM YAKE,MSANII REHEMA CHALAMILA A.K.A RAY C,AMEFUNGUKA FURAHA YAKE HIYO KWA MASHABIKI WAKE KUPITIA MTANDAO WA INSTAGRAM,AKIANDIKA MANENO YAKUONYESHA KUMSHUKURU MUNGU KWA KUMALIZA SALAMA ALBAM YAKE HIYO,
NI MIEZI TAKRIBAN MIWILI MSANII RAY C,AMEKUWA CHINI YA MAPRODUCER IMMA THE BOY NA TUDD THOMAS AKIIFANYA ALBAM YAKE MPYA,ITAKAYOMTAMBULISHA UPYA BAADA YA KUPOTEA KWENYE GAME KWA MUDA.
NB:-FUATILIA BAADHI YA SINGO ZILIZOMO KWENYE ALBAM HIYO KWAKUSIKILIZA BAADHI YA SINGO ZILIZOMO KWENYE ALBAM HIYO KWA UFUPI HAPA,

No comments:
Post a Comment