Friday, 4 October 2013

NDOA YA MH,RAIS WA MAREKANI,BW BARACK OBAMA YATIMIZA MIAKA 21.

NDOA YA MH,RAIS WA MAREKANI BW,BARACK OBAMA NA MKEWE MITCHELE IMETIMIZA MIAKA 21,TOKA NDOA HIYO IFUNGWE MIAKA 21 ILIYOPITA,MH,RAIS BARACK OBAMA NA MKEWE MITCHELLE WAMEBARIKIWA KUPATA WATOTO WAWILI WAKIKE,SASHA NA MALIA,KWA KIPINDI CHOTE CHA MIAKA 21 YA NDOA YAO,HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA KUMBUKUMBU YA MIAKA 21 YA NDOA YAO TOKA WALIPOOANA.

No comments: