AKIWA NCHINI MAREKANI KWA ZIARA YA KIMUZIKI MSANII FARAJI NYEMBO A.K.A OMMY DIMPOZ,AMEPATA NAFASI YA KUUTEMBELEA UBALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI,KATIKA ZIARA YAKE HIYO UBALOZINI HAPO,OMMY DIMPOZ AMEPATA NAFASI YA KUKUTANA NA BALOZI WA TANZANIA NCHINI MAREKANI MAMA MULA MULA,PAMOJA NA WAFANYAKAZI WENGINE WA UBALOZINI HAPO.
No comments:
Post a Comment