HUU NI UJIO MPYA TOKA KWA MSANII MCHIZI MOX,TOKA KUNDI KONGWE LA MUZIKI WA KIZAZI KIPYA NCHINI{WATEULE},MOX ANAENDELEA NA UCHUKUAJI VIDEO,YAKE MPYA"PIGA MAKOFI",VIDEO INAYOSIMAMIWA NA DIRECTOR ABBY KAZI CHINI YA "IMAGE ARRAY PRODUCTIONS.HIZI NI BAADHI YA PICHA ZA UCHUKUAJI KICHUPA HICHO,
No comments:
Post a Comment