Sunday, 3 November 2013

BAADA YA KIMYA KINGI MWANAMAMA CELINE DION ARUDI NA NGOMA"WATER AND A FLAME"AKIWA NDANI YA STUDIO YAKE.

PICHA KADHAA ZIKIMUONYESHA MWANAMAMA CELINE DION AKIWA NDANI YA STUDIO YAKE"ECHO BEACH STUDIOS-FLORIDA" AKIANDAA NGOMA YAKE MPYA ITAKAYOJULIKANA KAMA"WATER AND A FLAME"

NB:-HII NI VIDEO YA JINSI NGOMA HIYO BLUES KALI KABISA KAMA UUJUAVYO UWEZO WA MWANAMAMA CELINE DION KATIKA MUZIKI HUO:-


No comments: