Msanii Rehema Chalamila almaarufu kama Ray C yuko katika mbio za kurudi
kimuziki na Kwa sasa Ray C yuko chini ya usimamizi wa mkurugenzi wa kituo cha
matangazo cha Clouds Media Ruge Mutahaba ambaye tangu awali ndiye aliyekuwa msimamzi wa kazi zake{Smooth Vibe},kabla yakwenda nchini Kenya.
Mpaka sasa Ray C ana nyimbo zaidi ya kumi na ambapo kazi ya kuandaa nyimbo hizo Rasmi zilianza mwezi wa kumi na moja mwaka jana pia Ray C Foundation ni project ambayo hivi karibuni itakuwa Kazini,na hii ni project itakayokuwa maalum kwa ajili ya kusaidia waathirika wa matumizi wa madawa ya kulevya na mpango huo utakuwa chini yake yeye mwenyewe{Ray C}.
Akizungumza kwa uchungu alisema kuwa kwa jinsi anavyowachukia wauza madawa ya kulevya anatamani hata wapewe adhabu ya kuuawa kwa kuwa wao wanaingiza kiasi kikubwa cha pesa kutoka kwa watu ambao wanaathiriwa na madawa bila kujali madhara ya wanochokifanya.
Msanii Ray C ni mmoja kati ya waathirika wa madawa ya kulevya,ambapo kila anapolizungumzia suala la madawa ya kulevya aachi kumshukuru Mh,Rais Wa Jamhuri Ya Muungano{Tz}Dkt J.M.KIKWETE Kwa msaada mkubwa aliompatia kumsaidia kufanikiwa kujiengua kwenye utumiaji wa madawa hayo.

No comments:
Post a Comment