Friday, 28 February 2014

BRAND NEW MUSIC BY MARLAW- NO GO.{Audio}

Msanii Malima Rawlence almaarufu kama "Marlaw"Leo Ameachia Singo Yake Mpya,hii ni baada ya kimya kingi,Ngoma hii mpya yake Marlaw ameipa jina la No-Go,
Ikiwa ni Production ya Producer Marco Chali,huku mzigo mzima ukiwa umepikwa ndani ya Studio za Mj Records ya jijini Dar es salaam.
Isikilize Ngoma hiyo hapa,

No comments: