Friday, 28 February 2014

Brand New Song By The Tanzania Hip Hop Stars ft. January Makamba & Sugu – Haki{Audio}

"Haki" ni wimbo uliyoimbwa na wasanii wa Hip Hop wa Tanzania kwa kushirikiana na Naibu Waziri wa Mawsiliano, Sayansi na Teknolojia Mh. January Makamba pamoja na Mbunge wa Mbeya Mjini Mh. Joseph Mbilinyi aka Sugu.

Wasanii waliomo kwenye singo hii ni pamoja na Quack Rocka, God Zilla, Mchizi Mox, Joh Makini, Fid Q, Prof. Jay, Kala Jeremiah, G.Nako, Nikki Wa Pili, Danny Msimamo, Mwana FA, na KalaPina, wimbo huu umetayarishwa na P.Funk ndani ya Bongo Records. 
waweza kuusikiliza hapa,

No comments: