Friday, 14 February 2014

BRAND NEW SONG BY THE LATE NGWEA-ALMA Feat MIRROR.

NGOMA YAKE THE LATE ALBERT MANGWEA,SINGO ILIYOTAKIWA ITOKE KWENYE SEASON YA VALENTINE DAY MWAKA JANA,ILA HAIKUWEZA KUTOLEWA NA BADALA YAKE SINGO HII IMEACHILIWA LEO SIKU YA VALENTINE DAY KWA USIMAMIZI WA FAMILIA YA MAREHEMU ALBERT MANGWEA,KATIKA SINGO HII MANGWEA AMEMSHIRIKISHA MKALI ANAYEFANYA VIZURI HIVI SASA KWENYE BONGO RnB-MIRROR NA NGOMA IMEPEWA JINA LA ALMA,IKIWA NI PRODUCTION YAKE MANECKY-A.M RECORDS,
Isikilize Hapo Chini,

No comments: