Friday, 14 February 2014

MH,JANUARY MAKAMBA NAYE AHOJIWA NA KAMATI YA MAADILI{CCM}

Mh,Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba akizungumza na waandishi wa habari nje ya ukumbi wa White House mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.
KAMATI YA MAADILI{CCM}IMEENDELEA NA ZOEZI LA KUWAHOJI WALE VIONGOZI WATANO{CCM} WALIOWATANGAZA KUWA WATAHITAJIKA KUHOJIWA NA KAMATI HIYO ,
HILI NI ZOEZI LILILOANZIA SIKU YA JANA,KWA KAMATI HIYO KUWAHOJI MAWAZIRI WAKUU WAWILI WASTAAFU Bw,FREDRICK SUMAYE & Bw,EDWARD LOWASA PAMOJA NA MBUNGE WA SENGEREMA Bw,NGELEJA,HUKU ZOEZI LIKIWA LIMEBAKI KWA NAIBU WAZIRI WA MAWASILIANO,SAYANSI NA TEKNOLOJIA Bw,JANUARY MAKAMBA ALIYEHOJIWA LEO.PAMOJA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE Mh,BENARD MEMBE ALIYEKO NJE YA NCHI KIKAZI.
Naibu Waziri wa Mawasiliano  Sayansi na Teknolojia Mh, January Makamba akiondoka kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mara baada ya kuhojiwa na Kamati ya Maadili.

No comments: