Tuesday, 11 February 2014

CAMERA ZAWANASA DRAKE & RIHANNA WAKIWA NIGHTCLUB PAMOJA.

KWA MARA NYINGINE WASANII WAWILI AMBAO INADAIWA WALIWAHI KUWA WAPENZI,DRAKE"DRIZZY" & RIHANNA"RIRI" JUZI KWA PAMOJA WALIONEKANA WAKILA BATA KWENYE NIGHTCLUB MOJA MAARUFU NCHINI MAREKANI INAYOJULIKANA KAMA HOORAY HENRY'S NIGHTCLUB JIJINI LOS ANGELES ,ILA BAADA YA WATU KUANZA KUWASANUKIA WAWILI HAO WALIAMUA KUHAMA KIWANJA HICHO KWA KILA MMOJA KUONDOKA KIVYAKE WAKIPISHANA KWA SEKUNDE CHACHE, HII NI KUTOKANA NA WAWILI HAO KUBOREKA NA CAMERA ZA MAPAPARAZI WALIOKUWA WAKIWAFUATILIA NDANI YA NIGHTCLUB HIYO,
 MPAKA SASA UMEBAKI UTATA MZITO JUU YA NINI SABABU YA WAWILI HAO KUKUTANA USIKU HUO BATANI TENA WAKIWA MEZA MOJA,SI RAHISI KUHISI MOJA KWA MOJA KUWA NI KUTANO LA KIMAPENZI JAPO WENGI WAMEKUWA WAKIELEKEZA HISIA ZAO HUKO HUKU ASILIMIA NDOGO IKIWA IMEBAKI WAKIHISI JUU YA UJIO WA KAZI YAO YAKIMUZIKI WAKIWA  PAMOJA JAPO NALO SI RASMI PIA.


No comments: