MADABIDA NA MKEWE KORTINI KWA KUTENGENEZA ARV FEKI.
|
Ramadhan Madabida |
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida na mkewe bi. Zarina
Madabida wamefikishwa Mahakamani Kisutu kwa kesi ya kutengeneza ARV
feki.
|
Bi,Zarina Madabida |
Hii ni kupitia vidonge hivyo vinavyosaidia kurefusha MAISHA kwa wenye maambukizi ya jwa wa ukimwi,kuonekana havina kiwango,VIDONGE vinavyotengenezwa na kampuni iliyochini ya Mh,MADABIDA na Mkewe baada ya kushinda tenda ya kusambaza vidonge hivyo nchini.
No comments:
Post a Comment