Mipango Yote Uliyoipanga nakuombea ufanikiwe,
MUNGU awe pamoja na kazi unazofanya,
MUNGU BABA akuepushe na magonjwa yote ya kila aina,
akuweke mbali na wenye fitina,kwa MUNGU yote yanawezekana,
Maombi yako ayasikie,na majibu yako akupatie,
Maadui zako wasikufikie,ikiwezekana wakukimbie weh........
tena ikiwezekana wakukimbie weh.....
Hizi ni moja ya LINE'S zinazopatikana kwenye VERSE II ya Wimbo bora na pendwa katika moja ya nyimbo kali za Injili TANZANIA"Ufanikiwe" toka kwa ENOCK JONAS,
Waweza kuiangalia Video ya wimbo huo hapo chini,

No comments:
Post a Comment