MARTHA BARAKA ni mwanadada anayefanya vizuri sana kwenye MUZIKI WA INJILI nchini,singo yake hii JINA KUBWA ni singo inayoendelea kufanya vyema sana kwenye anga la muziki wa injili nchini,kwenye video ya wimbo huu yupo msanii mkongwe wa muziki wa injili BONY MWAITEGE ambaye ndiye aliyeipendezesha vyema video ya wimbo huu kwa style zake za uchezaji kukufanya usichoke kuiangalia video hii.
No comments:
Post a Comment