Kwenye stori za sasa, miongoni mwa zilizokik kwenye mitandao na baadhi ya magazeti Tanzania ni kuhusu muungano wa Wema Sepetu na Jokate.
Wengi tunafahamu au tulihisi kwa kiasi kikubwa kwamba wawili hawa hawakua wanapatana baada ya mpenzi wa Diamond wakati huo, yaani Wema Sepetu kudai Jokate kaanzisha uhusiano na Diamond.
![](https://lh3.googleusercontent.com/blogger_img_proxy/AEn0k_vOsPA-wVbQY_u4tQHsRIUDad9dhHaqIvcJ2EwyBb0PWlKup6bom7Sj2gy9e06EU2lH7hHW4HDGVCzqJ6gdprn6xVNOHeVaKRD6ZxvGtsrTMNC7xaZuRF-5JAhdakO9ryxDk5FjPA=s0-d)
Basi taarifa zikufikie kwamba Jokate ametoa ya moyoni baada ya kuwashangaza Watanzania wengi ambao bado waliamini yeye na Wema hazipandi, J alijitokeza kwa suprise kwenye party ya Wema Sepetu Arusha.
J anasema, siku kadhaa kabla Wema alimuomba waungane pamoja kwenda A town kwenye party aliyoiandaa na kufanyika Tripple A night club, lakini kutokana na ratiba ilibidi amwambie ataangalia uwezekano so Wema akawa anajua tu J hatoweza kutokea.
Kuendelea na stori unaweza kumtazama Jokate kwenye hii video hapa chini.
Wengi tunafahamu au tulihisi kwa kiasi kikubwa kwamba wawili hawa hawakua wanapatana baada ya mpenzi wa Diamond wakati huo, yaani Wema Sepetu kudai Jokate kaanzisha uhusiano na Diamond.
No comments:
Post a Comment