Friday, 21 February 2014

MATOKEO YA KIDATO CHA NNE{TZ}YATANGAZWA RASMI.

Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yametangazwa rasmi leo {9:00Mchana}, huku kiwango cha ufaulu kikiwa kimepanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 kwa mwaka 2012 hadi 58.25 kwa mwaka 2013.

Katika Matokeo haya watahiniwa wameonyesha kufaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wengi kufanya vibaya zaidi kwenye somo la Basic Mathematics kwa asilimia(17.78%).
Na haya ndiyo matokeo yalivyo kwa ujumla,

No comments: