Friday, 14 August 2015

IRENE APITA KAMATI KUU{CCM}VITI MAALUM.

Muigizaji maarufu wa Kike nchini Irene Uwoya amefanikiwa kushinda kwa kishindo na ‘kuukwaa’ Ubunge viti maalum Kupitia vijana, katika hatua zote mbili.
Irene alishindwa kuficha furaha yake  kwa kueleza kuwa dalili zilionekana tangu Tabora baada ya kupigiwa kura kwa wingi.
“Kuna mtu tulifungana lakini asante mungu nimefanikiwa kupita kamati kuu, so yah nimefanikiwa” alisema Irene.
Katika ‘line’ nyingine, wasanii kadhaa wamejitokeza kumpongeza Uwoya wakidai ni hatua kubwa kwa sanaa yao

No comments: