Miss Tanzania wa 12 tangu mashindano hayo yaanze nchini Tanzania Faraja
Nyalandu Kota Miss Tanzania 2004, yeye aliolewa na mwanasiasa waziri wa
mali asili na utalii Mh Lazaro Nyalandu, sasa leo ndani ya 255 Ya Clouds Fm, Miss
Tanzania wa mwaka 2004 Faraja Nyalandu anafunguka jinsi walivyokutana na
mheshimiwa mpaka wakaja kufunga ndoa yao
MSIKILIZE HAPO CHINI:-.
MSIKILIZE HAPO CHINI:-.


No comments:
Post a Comment