SIKU YA JUMANNE YA WIKI HII NDIYO ILIKUWA SIKU YA KUKUMBUKA KUZALIWA KWA MWANA RnB KELLY ROWLAND,KELLY ROWLAND ALIKUWA AKITIMIZA MIAKA 33 TOKA KUZALIWA KWAKE,KATIKA SHEREHE ALIYOJUMUIKA NA MARAFIKI ZAKE BEYONCE & SOLANGE NA WENGINEO KATIKA CHAKULA CHA JIONI{DINNER}NA KISHA SHEREHE ILIYOWAJUMUISHA MARAFIKI ZAKE HAO,ALIYOIITA "KELLY'S LIQUID GOLD FONDUE PARTY",NA HIZI NI BAADHI YA PICHA KATIKA KUMBUKUMBU HIZO ZA SIKU YAKE YA KUZALIWA, |
|
No comments:
Post a Comment