MSANII CREAZY GK,GWAMAKA KAILUA KAMA ANAVYOJULIKANA KWA JINA HALISI AKIWA NA KUNDI LAKE LA EAST COAST TEAM,LEO HII KUPITIA KIPINDI CHA XXL CHA REDIO CLOUDS FM,WAMETAMBULISHA SINGLE MPYA ILIYOTAWALA SAUTI YA MSANII HUYO ALIYEKUWA KIMYA KWA TAKRIBANI MIAKA SITA SASA YEYE NA KUNDI LAKE LA EAST COAST TEAM,UKIWATOA MWANA FA{BINAMU} NA AMBWENE YESAYAH{AY},AMBAO BADO WANAENDELEA KUFANYA VIZURI KWENYE GAME LA MUZIKI WA BONGO,WAKIFANYA KAZI ZAO KAMA SOLO ARTIST,
SINGLE HIYO MPYA YAKE CREAZY GK AMEIPA JINA LA "BARAKA AU LAANA?"SWALA AMBALO GK ANAIULIZA JAMII YOTE YAKITANZANIA NI HAKI KUJISIFIA KUZALIWA AFRICA AMA NI SAWA NA LAANA?AKIJARIBU KUANGALIA HISIA ZA WAAFRICA ZIMEELEKEA WAPI JUU YA HILI,KUFUATIA KAULI ILIYOZOELEKA SANA YA WENGI KUSEMA KUWA "NI HERI KUZALIWA MBWA ULAYA KULIKO KUZALIWA BINADAMU AFRICA"NAFIKIRI HATA WEWE JIBU UNALO JUU YA HII,NIMEKULETEA BAADHI YA PICHA ZA WANA EAST COAST WAKIWA NDANI STUDIO ZA CLOUDS FM,KWA AJILI YA KULOUNGE SINGLE HIYO LEO MCHANA.
NB:-HII HAPA VIDEO YA JINSI ILIVYOKUWA LEO NDANI YA XXL YA CLOUDS FM,AMBAPO CREAZY GK NA EAST COAST TEAM KWA UJUMLA WALIKUWA WAKIZINDUA SINGLE MPYA YAKE CREAZY GK.
*PIA WAWEZA KUISIKILIZA SINGLE HIYO HAPA:-
SINGLE HIYO MPYA YAKE CREAZY GK AMEIPA JINA LA "BARAKA AU LAANA?"SWALA AMBALO GK ANAIULIZA JAMII YOTE YAKITANZANIA NI HAKI KUJISIFIA KUZALIWA AFRICA AMA NI SAWA NA LAANA?AKIJARIBU KUANGALIA HISIA ZA WAAFRICA ZIMEELEKEA WAPI JUU YA HILI,KUFUATIA KAULI ILIYOZOELEKA SANA YA WENGI KUSEMA KUWA "NI HERI KUZALIWA MBWA ULAYA KULIKO KUZALIWA BINADAMU AFRICA"NAFIKIRI HATA WEWE JIBU UNALO JUU YA HII,NIMEKULETEA BAADHI YA PICHA ZA WANA EAST COAST WAKIWA NDANI STUDIO ZA CLOUDS FM,KWA AJILI YA KULOUNGE SINGLE HIYO LEO MCHANA.
![]() |
ADAM MCHOMVU a.k.a BABA JONII AKIIONYESHA FULANA TOKA EAST COAST TEAM IKITAMBULISHA SINGLE MPYA YA "BARAKA AU LAANA" YAKE CREAZY GK. |
No comments:
Post a Comment