wasanii mahiri kwenye tasnia ya filamu nchini hemedy suleiman,wema sepetu na aunt ezekiel wametoa nafasi kwa watoto wenye vipaji vya uigizaji filamu,kushiriki pamoja nao kwenye filamu yao mpya wanayotarajia kuanza kuishoot,filamu itakayojulikana kwa jina la "FAMILY",
Usaili juu ya watakaofuzu kuwemo kwenye filamu hiyo utakuwa kwenye viwanja vya LEADERS CLUB siku ya Jumapili kuanzia saa nne asubuhi.
No comments:
Post a Comment