Tuesday, 4 March 2014

(BRAND NEW AUDIO) JUX – NITASUBIRI

 Hatimaye Msanii Jux ametoa wimbo wake mpya uliouitwa “Nitasubiri” ngoma iliyopikwa katika studio za AM Records.Chini ya Producer BOB MANECKY.

Ni ngoma ambayo imekaa kiuzuni ingawa Jux mwenyewe amesikika akisema kwenye ngoma hii hajamuimbia mpenzi wake wa zamani bibie Jack Cliff aliyekamatwa na yanayodaiwa kuwa ni madawa ya kulevya nchini China ila kutokana na wimbo wenyewe unaeleza kila kitu.

Furahia muziki ngoma hiyo hapa,

No comments: