Katika Post Yake aliyoituma kupitia mtandao wa Instagram muda si mrefu msanii Joh Makini toka kundi la WEUSI,ameonyesha kukinzana na Msemaji wa kundi hilo "NIKKI WA II"ambaye pia ni mdogo wake ambaye amekaririwa na media tofauti akifunguka kwa niaba ya kundi hilo juu ya kutengwa kwa msanii LORD EYEZ na kundi hilo msanii LORD EYEZ anakabiliwa na kesi ya wizi wa LAPTOP jijini Arusha.hii ni baada ya kukamatwa na kuendelea kushikiliwa na Jeshi la Police kwa tuhuma hizo.
Katika post hiyo Joh Makini ameandika"LORD EYEZ hajafukuzwa kama wengi mnavyoitafsiri",
Na Hivi ndivyo ilivyokuwa Mtandaoni Instagram baada ya JOH MAKINI kupost maneno hayo,
Katika post hiyo Joh Makini ameandika"LORD EYEZ hajafukuzwa kama wengi mnavyoitafsiri",
Na Hivi ndivyo ilivyokuwa Mtandaoni Instagram baada ya JOH MAKINI kupost maneno hayo,
malekea Nilivyoelewa
..since weusi wako serious na kazi na pia ni kampuni n also a
brand..mmoja ya members amesmamishwa ila hajafkuzwa..kama ww ni
interlectual ama muelewa nadhani utakua unajua kila kampuni ina misingi
na sherea zake..so jama hajatengwa wala kufkuzwa Bali amesmamishwa
lipzona Ndo manake nn nakat mchz yko kweny mattzo?
fidelis_94 ni upuuz jamaa abadilike tutaj mpoteza kabisa
fidelis_94 sometimes
tuach kum defence kisa n staa yy n kio cha jamii sas anafudisha nn hio
jamii n upuuz mtupu anahaibisha mafansi wake n tunapasw kumkemea sio
kufumbia macho
gdwalize Naona bora Peke yangu maana rafiki wakweli c mjuii a got 2 many fek people my people!!!!!??
stevemushi24 Mwambieni aachane na sembe,ni ubwege siku hzi,bado tunahitaj vibur flow!! @joh_makini
lukmansaid921 Mpeleke kwa #rayc1982 Ampe'maujanja yakuacha sembe.. #joh_makini
jowel_kajes Msifanyee hivyoo jamiii itawachukiaa
mtavanaclassic07 Mnawatuhumu
weusi bure jaman hivi kwann hamkubali kwamba ni sheria za kampun ndizo
zilizomsimamisha yoote hayo ni mwenendo mbovu bhaaasssa.....!!!!?
lekamaru Tunashukuru
sana kucikia ayo kwani MTOTO akiinajici mkono au katwui Mm kama
mshabiki wenu napia CHALI kutoka ar nimefurai kucikia maneno ya job na
warawara asanteni sana wehusi nikiyoo chajami kwaiyo kamachangamoto
yapo nadiyokamaivyo nyie kazaneni akitoka mtajua chakufanya niayotu
mazee
rudolfrodney Anaweza
akawa amekiuka masharti ya kampun but sii fair kumtenga mchukulieni
kama ndugu kwa kumpa ushauri na kama kuna ishu nyingine ambazo
anazifanya aziko sawa mwekeni kwenye mstari itakuwa poa zaidi @joh_makini #teamweusi
bintiandengenye @joh_makini msaidieni plssss mungu atawabariki mno
mndewa52 Jifunze kuandika bac #lekamaru
sarahpatricks Hopes he will be well n healthy and back in the game!!!
sarahpatricks Hopes he will be well n healthy and back in the game!!!
No comments:
Post a Comment