Brand New Video By ALICE,ANGEL & KHADIJA-PAMBO{Official Video}
PAMBO- WIMBO KWA AJILI YA WANAWAKE WA AINA ZOTE.
This is for all
the women out there ambao wanafanya kila kitu wanachokifanya. Kwa wale
wote wanaohisi kama sio wazuri au warembo kutokana na kazi wanayoifanya.
Hii nyimbo ni ya wanawake wote.
No comments:
Post a Comment