Saturday, 17 October 2015

MSANII WIZKID KUPIGA SHOW BONGO BAADA YA KUMPATA RAIS MPYA WA AWAMU YA TANO.

Wizkid.
WIZKID LIVE IN DAR OKTOBA 31

Msanii mkali toka Nigeria WIZKID anatarajiwa kuwasha moto ndani ya jiji la Dar oktoba 31 katika viwanja vya Leaders Club.

Kampuni ya King Solomon Entertainment wakizungumza na waandishi wa habari muda huu wamesema kuwa wasanii wataomsindikiza WIZKID watatajwa hapo baadaye.



Mkuu wa Masoko wa EATV/EARADIO Bwana Alex Galinoma amesema wao wameamua kujihusisha na event hii ya WIZKID kwakuwa wanaongoza kutoa burudani nzuri inayopendwa na vijana

WIZKID anatarajiwa kutoa burudani nzuri itakayoacha historia kubwa katika iji la Dar es salaam pale Leaders Club oktoba 31. 


Chanzo-EATV

No comments: