Wednesday, 26 March 2014

DIAMOND AUZA SURA{INSTAGRAM}NA WIGI LA WEMA SEPETU.

Katika hali ya kustaajabisha katika akaunti ya instagram ya WEMA SEPETU amepost picha hii ya Boyfriend wake "DIAMOND PLATNUMZ" Picha iliyoambatana na maneno haya.
(Been looking for my wig da whole morning ….Look wea i found it ….My crazy baby .. Limependeza though..hihihihi.)
Haya ndo maneno ya Wema Sepetu.kupitia Acc yake ya Instagram.

No comments: