Wednesday, 26 March 2014

MILL SABINI{70MILL}ZAMNG'OA GODWIN GONDWE "RADIO ONE"

Taarifa kupitia Rafiki wa karibu wa mtangazaji mahiri GODWIN GONDWE zinadai kuwa mtangazaji huyo Mahiri na aliyekuwa aking'ara kupitia vyombo vya habari vya IPP MEDIA{ITV & RADIO ONE}amejiunga na CLOUDS MEDIA nayo ya jijini Dar es salaam hii ni baada ya mtangazaji huyo kutangaziwa donge nono la Sh,Millioni Sabini{70mill}na kuamua kuimwaga IPP MEDIA na atimaye kujiunga na CLOUDS MEDIA.

No comments: