Friday, 21 March 2014

MAJANGA:-SEHEMU YA HOTELI YA PICOLO BEACH INAWAKA MOTO.

PICOLO BEACH HOTEL YAUNGUA MOTO: 
Sehemu ya Hoteli ya Picolo Beach iliyopo Kawe, Dar inateketea kwa moto. Chanzo cha moto huo bado hakijafahamika mpaka sasa!
Kwa Habari zaidi endelea kuwa nasi,

No comments: