Saturday, 8 March 2014

PHOTO'S BY QUEEN DARLEEN ON HER BRAND NEW"WANATETEMEKA"VIDEO SHOOT.

Hatimaye kile kichupa chake mwanadada machachari kwenye muziki wa BONGO FLEVA,QUEEN DARLEEN Kimekamilika rasmi,tayari kwa kuachiwa wakati wowote kuanzia sasa,
Pia katika VIDEO hii,tutegemee kumuona kaka yake QUEEN DARLEEN ambaye ni Msanii anayefanya vizuri sana kwa sasa kwenye muziki huu wa BONGO FLEVA"DIAMOND PLATNUMZ,ambaye amekipendezesha kichupa hicho kwa sehemu kubwa,
Hizi ni baadhi ya Picha zilizopigwa wakati wa uchukuaji VIDEO hiyo,




 

No comments: