Friday, 7 March 2014

PICHA MSANII "NYANDA"{BRICK n LACE} AKIWA ZIARANI UGANDA.

Pichani NYANDA akiwa na Msanii CINDY SANYU kwenye Press Conference,Airtel{UGANDA}
Magazeti nchini UGANDA nayo yaliandika kuhusiana na NYANDA.

Msanii NYANDA akiwa na timu ya ORGANIZATION ya REACH A HAND{UGANDA},ambao ndiyo waliofanikisha ujio wake nchini UGANDA.

Hapa NYANDA alipotembelea Shule ya Wasichana & Wavulana ya "HANNA MIXED SCHOOL{UGANDA}"

NYANDA na Mwanzilishi wa ORGANIZATION ya REACH A HAND{UGANDA}Bw,HUMPHREY NABIMANYA.

NYANDA akiwa katika POZI la kitata na Boxer maarufu nchini UGANDA"MOSSES GOLOLA.

NYANDA & DOUGLAS ndani ya kipindi cha THE BEATS{NTV}
NYANDA akiongea na Wasichana katika shule ya "HANNA MIXED SCHOOL-UGANDA"

NYANDA akiongea na baadhi ya Vijana waliomo ndani ya ORGANIZATION ya REACH A HAND{UGANDA}

NYANDA & HUMPHREY NABIMANYA.

No comments: