Hii ni Cover ya Nyimbo mpya kutoka kwa Rapper Black Ryhno ft Ngwair – “Lookie Lookie”, wimbo huu ni Singo inayofuata kwa Black Rhino"The Don Dada"mzigo ukiwa imefanyika kwa producer Mbezi.
Producer Mbezi akifuguka juu ya Collabo hii ya Ryhno na Marehemu Albert
Mangwair anasisitiza kuwa “Hii track ndiyo ilikuwa collabo ya
mwisho kiukweli aliyoshiriki Marehemu Ngwea kabla hajasafiri kwenda South Africa”
ambako kwa bahati mbaya umauti ulimfika kabla ya kurudi{TZ}alisema Mbezi.
No comments:
Post a Comment