Friday, 14 March 2014

WEMA SEPETU AVAMIA STUDIO BAADA YA KUGUNDUA DIAMOND YUKO STUDIO NA VICTORIA KIMANI

Siku ya jana March 13 2014 kulitokea ugomvi kwenye studio {Jina kapuni}baada ya Ommy Dimpoz kupost baadhi ya picha na Video akiwa studio na msanii mwenzie Diamond Platnumz na mwimbaji wa kike toka nchini kenya Victoria Kimani ambae taharifa za awali zinadai kuwa mwanadada huyo amewahi kuingia kwenye headlines kwamba ana uhusiano wa kimapezi na Diamond Platnumz.
Shuhuda aliyeshuhudia timbwili zima anasema tatizo lilikuja baada ya video hiyo kusambaa kwenye mitandao ya kijamii huku kumbe Diamond hakumuaga kabisa mpenzi wake Wema kwamba angekua studio na Victoria, hapo ndipo Wema inadaiwa kwenda na kufanya fujo studio.
 Msikilize Gossip Cop Soudy Brown akiripoti juu ya Sakata hilo hapo chini,

No comments: