 |
| Mwisho Mwampamba. |
Aliyekuwa mwakilishi wa mara mbili kutoka Tanzania kwenye shindano la
Big Brother Africa, Mwisho Mwampamba ataonekana hivi karibuni kwenye
kituo cha runinga cha TV1 kama mtangazaji.
Kupitia Instagram, TV1 wameweka picha hii ya baadhi ya wafanyakazi wa
TV1 akiwemo Mwisho na kuandika; Guess who’ll be next as #TV1Host
#tv1tanzania #comingsoon #tvproduction #tv #tanzania #africa
#daressalaam #mikocheni #studios #set
 |
| Mwisho (kulia) akiwa na watu wengine kwenye uzinduzi wa TV1 wiki kadhaa zilizopita |
No comments:
Post a Comment