Muigizaji mahiri wa kike katika tasnia ya filamu{TZ},Jennifer Kyaka almaarufu"Odama"ameshiriki furaha yake ya kufanikiwa kupata mtoto na mashabiki wake,kwa kuandika ujumbe mfupi wa shukurani kwa mashabiki wake wote waliokuwa wakimuombea mema hasa katika kipindi chote cha ujauzito,Odama aliandika ujumbe huo kupitia mtandao wa Facebook akiandika kama ifuatavyo,
Odama ni muigizaji mahiri mwenye uwezo mkubwa wa kuteka hisia za wapenzi wa filamu hasa kutokana na uwezo mkubwa alionao katika kubeba uhusika vyema,jina ODAMA ni jina lililokuwa hasa kutokana na filamu nzuri na yenye kusisimua aliyoshiriki kwa sehemu kubwa,Filamu iliyomtambulisha vyema katika Anga la filamu Bongo,licha ya ODAMA,Jennifer kyaka ameshashiriki pia kwenye filamu nyingi kama FAKE LOVE,WITCH DOCTOR,FIGO nk.

No comments:
Post a Comment