Wednesday, 30 April 2014

MAFIKIZOLO WAFUNIKA SOUTH AFRICAN MUSIC AWARDS

Usiku wa juzi kwenye South African Music Awards,Usiku uliotawaliwa vilivyo na hitmakers wa ‘Khona’ na ‘Happiness’ Mafikizolo,kundi lililofanikiwa kunyakua tuzo nane kwa mpigo kwenye Awards hizo.
Miongoni mwa vipengele walivyoshinda ni pamoja na album of the year na best duo/ group. Wasanii wengine waliopata tuzo ni pamoja na Zahara, Kabomo Nakhane Toure, iFani Big Nuz, Mi Casa Music na wengineo.

No comments: