Thursday, 15 May 2014

HASHEEM THABEET APATA KIDUME

Mtanzania anayecheza mpira wa kulipwa wa kikapu katika timu kubwa ya ‘Thunder aka OKC’ iliyoko katika jiji la Oklahoma, Marekani Hasheem Thabeet aka Hasheem The Dream, wiki sita zilizopita amepata mtoto wa kiume(Baby Boy) aliyezaa na msichana wa kimarekani anayefahamika kwa jina la Bee Anderson alias Love Queen Bee.
Hasheem ameingia kwenye list ya mastar waliobahatika kupata mtoto katika fani tofauti nchini humo, mke wake akiwa ni super model akitokea jiji la Las Vegas, Marekani.
  Hasheem amempa jina la ‘Prince Thabeet’ mtoto wake huyo wakati katika mwezi huu  mastar wengine wa kitanzania kama Shaa, Keisha and so on wamebarikiwa kupata watoto pia.. 

No comments: