Msanii toka Manzese, Madee ambaye mwaka jana ulikuwa mwaka wa neeema zaidi kwake
katika biashara ya muziki, hatimaye amemaliza ujenzi wa nyumba yake.
Madee ameaonesha picha ya nyumba yake kwa ndani ikiwa imekamilika na kuandika, “FINALLY. ..karibuni ikulu...#MBEZI# @babutale”
Katika hatua nyingine, msanii huyo yuko katika maandalizi ya kuachia wimbo wake mwingine na amewataka mashabiki wake kutabiri atakuwa ameimba kuhusu kitu gani,
Je Unataka Na Unatamani Kuisikia Ngoma Yangu Inayokuja?? Je unahisi Nitakuwa Nmeongelea Kitu gani??
— Madee (@Madeeseneda) hivyo ndivyo alivyoandika kwa kumalizia Madee.

No comments:
Post a Comment